1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu watano wauawa katika mashambulizi ya ADF mjini Beni

John Kanyunyu13 Julai 2022

Mji wa Beni ulishambuliwa na wapiganaji wa kundi la kigaidi ADF usiku wa kuamkia leo na watu watano wanaripotiwa kuuawa. Idadi hiyo huenda ikaongezeka zaidi kwani shughuli za kutafuta miili mengine inaendelea. Sikiliza ripoti ya John Kanyunyu kutoka kutoka Beni.

https://p.dw.com/p/4E3tg