You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Matangazo
Allied Democratic Forces
Ruka sehemu inayofuata Habari
Habari
04.05.2024
4 Mei 2024
Bomu laua watu 12 wakiwemo watoto nchini Kongo
25.04.2024
25 Aprili 2024
Mahakama Uganda yafuta hukumu ya miaka 20 kwa Wakenya 32
25.04.2024
25 Aprili 2024
Muungano wa kijeshi wa Marekani wadungua droni za Houthi
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi
Ripoti na Uchambuzi
Polisi waliochukua nafasi ya Monusco wakabiliwa na ugumu
Polisi waliochukua nafasi ya Monusco wakabiliwa na ugumu
Polisi waliochukua nafasi ya Monusco Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakabiliwa na hali ngumu ikiwemo kukosa chakula.
Waasi wa Kihouthi wajizolea umaarufu
Waasi wa Kihouthi wajizolea umaarufu
Waasi wa Houthi wanatumia mashambulizi ya Bahari Nyekundu ili kuongeza hadhi
Kongo: MONUSCO yasitisha oparesheni zake jimbo la Kivu
Kongo: MONUSCO yasitisha oparesheni zake jimbo la Kivu
MONUSCO imesitisha operesheni zake za kulinda raia katika jimbo la Kivu kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Waasi wa M23 wauteka mji wa madini wa Rubaya nchini Kongo
Waasi wa M23 wauteka mji wa madini wa Rubaya nchini Kongo
Wapiganaji wa kundi la M23 waliuteka Jumanne (Aprili 30) mji wenye shughuli za uchimbaji madini jimboni Kivu Kaskazini.
Uingereza yawawekea vikwazo wanasiasa wa Uganda
Uingereza yawawekea vikwazo wanasiasa wa Uganda
Uganda yasema ufisadi unatumiwa tu kama kisingizio cha vikwazo vya Uingereza dhidi ya maafisa wake.
Museveni amsifia Muhoozi kuwa mwanajeshi shupavu
Museveni amsifia Muhoozi kuwa mwanajeshi shupavu
Sherehe za familia zilifanyika ikulu ya Entebbe lakini ilikuwa fursa kwa Museveni kuwajibu wakosoaji wa Muhoozi.
Onesha zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Yenye kuangaziwa
Yenye kuangaziwa
Mbinu zinazotumiwa kutokomeza Malaria Uganda
Miongoni mwa mbinu zinazotumiwa na Uganda ni mpango wa kunyunyiza viwatilifu vya kuangamiza mbu wanaoeneza Malaria.
Paul Kagame: Shujaa au Dikteta?
Kagame humwagiwa sifa kama mwokozi aliyemaliza mauaji ya kimbari lakini wengine wanamchukulia kama kiongozi katili.
Afrika Mashariki inaweza kuwa na viwango sawa vya kodi?
Bunge la EALA limepitisha muswada wa kusawazisha sheria za kodi na ushuru lakini kuna mashaka ikiwa utaridhiwa.
Uganda yapinga kuondolewa AGOA
Hii ina maana kuwa Uganda imepoteza soko la bidhaa zake mbalimbali ikiwemo zile za vitu vya sanaa, viungo na ngozi.
Abiria wahangaishwa katika uwanja wa ndege Uganda
Wadadisi wanasema uamuzi huenda ukawa umechukuliwa kufuatia vilio vya wasafiri wanaodai kunyanyaswa katika úwanja huo.
Uganda yakabiliwa na wimbi kubwa la wakimbizi wa Congo
Wakimbizi hao wametembea kwa miguu na kukabiliana na hali ngumu ya mvua na mafuriko ambayo yanalikumba eneo hilo