1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Somalia

Somalia yajiunga rasmi na EAC

Zainab Aziz
8 Machi 2024

Wiki hii kwenye Maoni Meza ya Duara, wataalamu wetu wameijadili hatua muhimu katika historia ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Baada ya miaka mingi ya kampeni thabiti, Somalia sasa imekuwa mwanachama wa nane wa jumuiya hiyo ya Afrika Mashariki. Je, Somalia ndani ya EAC, italeta fursa au changamoto zipi? Mwenyekiti ni Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/4dIhr