1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Hatufahamu hitilafu ya Intaneti itakwisha lini

Amina Mjahid
13 Mei 2024

Nchi kadhaa za Afrika Mashariki zimekumbwa na ukosefu wa mtandao wa Intaneti, baada ya nyaya za chini ya bahari kuharibika. Shirika la uchunguzi la mtandao la NetBlocks, limesema Tanzania na kisiwa cha Ufaransa cha Mayotte, ndizo zilizoathirika zaidi na hitilafu hiyo ya mtandao wa Intaneti. Amina Aboubakar amezungumza na msemaji wa serikali ya Tanzania Mobhare Matinyi.

https://p.dw.com/p/4fngA