You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Matangazo
Sarafu ya Euro
Ruka sehemu inayofuata Habari
Habari
16.05.2024
16 Mei 2024
Ujerumani yatangaza kikosi cha michuano ya Euro 2024
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi
Ripoti na Uchambuzi
Ujerumani yataja kikosi cha kombe la EURO 2024
Ujerumani yataja kikosi cha kombe la EURO 2024
Ujerumani itafungua pazia watakapokipiga na Scotland mnamo Juni 14 katika dimba la Allianz Arena mjini Munich, huku fainali ikitarajiwa kuchezwa Julai 14 katika uwanja wa Olympiastadion mjini Berlin. Sikiliza mahojiano kati ya John Juma na Josephat Charo wa dawati la michezo la DW Kiswahili.
Michuano ya Kombe la EURO 2024 yakaribia
Michuano ya Kombe la EURO 2024 yakaribia
Zikiwa zimesalia wiki chache kuanza kwa mashindano EURO 2024 Juni 14 yatakayofanyika hapa Ujeurmani tayari baadhi ya mataifa yameanza kutangaza vikosi vyao. Waziri wa mambo ya ndani wa Ujerumani Nancy Faeser amesema vikosi vya usalama vimeajiandaa vyema kwa ajili ya mashindano hayo. Sikiliza mahojiano kati ya Suleman Mwiru na Josephat Charo.
EU yatangaza msaada wa euro bilioni moja kwa Lebanon
EU yatangaza msaada wa euro bilioni moja kwa Lebanon
Halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya imetangaza kutoa msaada wa euro bilioni moja kwa ajili ya Lebanon
Kupanda thamani ya dola kwazusha wasiwasi duniani
Kupanda thamani ya dola kwazusha wasiwasi duniani
Kuimarika kwa dola ya Marekani kunaibuwa wasiwasi mkubwa sio tu katika nchi zinazoendelea bali hata zilizoendelea.
Euro bilioni mbili zapatikana kwa ajili ya kuisaidia Sudan
Euro bilioni mbili zapatikana kwa ajili ya kuisaidia Sudan
Mkuu wa Umoja wa Mataifa Guterres amesema uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinaadamu huenda umefanywa Sudan.
NATO yajadili mfuko wa yuro bilioni 100 kwa Ukraine
NATO yajadili mfuko wa yuro bilioni 100 kwa Ukraine
Kando ya mkutano huo, mkutano wa NATO wanatarajiwa kujadili kinyang'anyiro cha kuchukua nafasi ya Jens Stoltenberg.
Onesha zaidi
Matangazo