You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Salma Mkalibala
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Salma Mkalibala
Taarifa na Salma Mkalibala
Athari za mafuriko na kimbunga kusini mwa Tanzania
Athari za mafuriko na kimbunga kusini mwa Tanzania
Athari za mafuriko na kimbunga kusini mwa Tanzania bado zinashuhudiwa, ikiwemo kukatika kwa mawasiliano ya barabara na kusababisha adha ya usafiri. Wizara ya Ujenzi katika taifa hilo la Afrika mashariki imesema bado inafanyia kazi changamoto hiyo ili kurejesha huduma ya usafiri kwenye utaratibu wa kawaida.
Kimbunga Hidaya chaharibu miundombinu Tanzania
Kimbunga Hidaya chaharibu miundombinu Tanzania
Mawasiliano kati ya mkoa wa Dar es Salaam na mikoa iliyopo Kusini mwa Tanzania ya Lindi, Mtwara na Ruvuma yamekatika.
Mpaka wa Tanzania na Msumbiji wafunguliwa baada ya miaka 4
Mpaka wa Tanzania na Msumbiji wafunguliwa baada ya miaka 4
Serikali ya Tanzania imefungua mpaka kati yake na Msumbiji, katika eneo la ukanda wa mikoa ya kusini mwa nchi hiyo.
Fadia: Nimekatwa mikono, nimegeuka tegemezi kwa familia
Fadia: Nimekatwa mikono, nimegeuka tegemezi kwa familia
Kutokuwepo na usawa wa kijinsia na ubaguzi dhidi ya wanawake na wasichana ni ukatili unaopaswa kushughulikiwa. Ni maneno ya Fadia ambae alikatwa viganja vya mikono yake na aliekuwa mumewe, ambae mahakama ilimkuta na hatia na kumfunga miaka 13 jela, lakini kwa Fadia ambae alikuwa anategemewa na familia, sasa amekuwa tegemezi maisha yote yaliobakia.
Faida za Misitu kusini mwa Tanzania
Faida za Misitu kusini mwa Tanzania
Katika Makala hii ya Mtu na Mazingira Salma Mkalibala anaangazia, faida za kimazingira zinazotokana na uwepo wa Misitu ya Ukanda wa Pwani na changamoto zake.
Tanzania ni mkondo wa usafirishaji haramu binadamu
Tanzania ni mkondo wa usafirishaji haramu binadamu
Tanzania inatajwa chanzo na mkondo wa makosa ya usafirishaji haramu binadamu na maficho ya wanaokwenda kutumikishwa.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo