1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Biteko:Uhakika mgao wa umeme mwisho Machi Tanzania

Sudi Mnette
27 Februari 2024

Naibu Waziri Mkuu wa Tanzania, Dotto Biteko amesema "Mgao wa umeme Tanzania unaishia mwezi Machi" baada ya kuanza matumizi ya nishati inayozalishwa na bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere. Zaidi msikilize katika mahojiano ya Kinagaubaga alipzungumza na Sudi Mnette.

https://p.dw.com/p/4cvja