1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nafasi ya chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania

15 Machi 2024

Rashid Chilumba anaongoza kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara kutathmini nafasi ya chama cha upinzani cha ACT-Wazalendo cha nchini Tanzania. Baada ya chama hicho kukamilisha uchaguzi wa ndani ulioshuhudia mabadiliko ya uongozi wa juu, kinayo nafasi ya kujiimarisha kuelekea chaguzi kuu nchini Tanzania?

https://p.dw.com/p/4dgZ5