1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanamke wa Kibra atengeneza matofali ya kipekee

24 Mei 2023

Mwanamke mmoja wa Kibra, Nairobi Kenya ambaye amepata suluhisho ya kujenga nyumba za bei nafuu kwenye mitaa duni. Ameanzisha kampuni yake kwa jina Start Somewhere ambayo imeajiri wafanyikazi sita.

https://p.dw.com/p/4Rjvw