1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mambo bado magumu mgomo wa madaktari nchini Kenya

21 Machi 2024

Sekta ya afya nchini Kenya inaingia kwenye kipindi kigumu baada ya madaktari kuendelea na mgomo ulioingia wiki yake ya pili leo. Wakati huohuo, wizara ya afya iko macho baada ya wasiwasi kusambaa kuwa kuna ongezeko la visa vya maambukizi ya magonjwa ya homa na kifua. Sikiliza ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi.

https://p.dw.com/p/4dzHn