1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, uamuzi wa mahakama kumaliza mgomo wa madaktari Kenya?

Tatu Karema
18 Aprili 2024

Mwanasheria Bon Mkangi anazungumzia uamuzi wa Jaji Byram Ongaya wa Mahakama ya Kazi ya Kenya aliyewaagiza madaktari wanaogoma nchini humo pamoja na serikali kufanya mazungumzo na kufikia makubaliano katika muda wa masaa 48 na kurejea kazini ifikapo Ijumaa (Aprili 19).

https://p.dw.com/p/4ewQK