1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mageuzi ya Togo yawatia tumbo joto wananchi wa taifa hilo

Sylvia Mwehozi
24 Aprili 2024

Togo iliidhinisha mageuzi ya kikatiba ambayo yanabadili mfumo wa watu kumchagua rais na badala yake rais atachaguliwa na bunge. Zaidi juu ya hali huko sikiliza mahojiano haya kati ya Mohammed Abdulrahman, mwandishi mkongwe wa kimataifa na mchambuzi wa siasa za afrikana Sylvia Mwehozi

https://p.dw.com/p/4f9Cl