1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Leila Abdul Kheir na vita dhidi ya utoaji mimba holela

Mohammed Khelef
16 Februari 2024

Leila Abdul Kheir (27) ni msichana ni mwanzilishi wa shirika la vijana la Youth Voices and Action Initiative alilolianzisha yeye mwenyewe akishirikiana na wenzake watano ili kuwahamasisha vijana katika vijiji vya Kaunti ya Kilifi pwani ya Kenya kuhusu mambo yanayohusiana na utoaji mimba na afya ya uzazi.

https://p.dw.com/p/4cTGs