1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwanini Al-Shabab inawatia hofu wasomali?

9 Juni 2023

Kundi la Al-shabab limekuwa likifanya mkururo wa mashambulizi nchini Somalia na kuteteresha hali ya usalama katika taifa hilo, shambulio la hivi karibuni la Masagawa, takriban kilomita 300 kaskazini mwa Mogadishu limeuwa walinda amani takriban 17.Kundi hili ni nani na wanataka nini kwa Somalia?

https://p.dw.com/p/4SObB