1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Mbunge Waitara na juhudi za kupigania haki za raia kwenye migodi

16 Mei 2023

Mwanasiasa Mwita Waitara, ni mbunge wa jimbo la Tarime kaskazini mwa Tanzania, hivi karibuni akiwa bungeni alilalamikia fidia ya wananchi kutoka kwenye mgodi mkubwa wa kuchimba madini jimboni kwake. Suali ni je wawakilishi kama yeye wanaweza kumaliza migogoro kati ya wananchi na makampuni makubwa ya kuchimba madini nchini Tanzania. Rashid Chilumba amezungumza nae katika Makala hii ya Kinagaubaga.

https://p.dw.com/p/4RQ4s