1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bidhaa zipi ni salama kusafisha sehemu za siri?

Lilian Mtono
16 Februari 2023

Unapoingia madukani hukosi bidhaa za kutumia kusafisha sehemu za siri za mwanamke tena za aina mbalimbali! Ukisoma maelekezo ya bidhaa hizo utaona zimeandikwa jiweke safi, ama jiweke salama, ama tunza sehemu zako za siri kwa usalama na nyingi pia zikiwa zimeandikwa kwamba zimethibitishwa na wataalamu. Je ni salama kiasi gani? Yupo hapa mtaalamu akitueleze kwa kina.

https://p.dw.com/p/4NTae