1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern Munich, Borussia Dortmund kuiwakilisha Ujerumani

Tatu Karema
18 Aprili 2024

Sekione Kitojo anafafanuwa hatua ya Ujerumani kuwakilishwa na timu mbili katika hatua ya nne bora ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya, baada ya Bayern Munich kuiondoa Arsenal ya England katika robo fainali na Borussia Dortmund kuwapeleka nyumbani Atletico Madrid ya Uhispania.

https://p.dw.com/p/4eva4