1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki Hii

Amina Mjahid
21 Aprili 2024

Kenya yaomboleza kifo cha mkuu wa majeshi Jenerali Francis Ogolla, kilichotokea baada ya helikopta aliyokuwa akisafiria kupata ajali, mwaka mmoja tangu kuzuka kwa vita vya Sudan, hali huko inaendelea kuwa mbaya na mvua kubwa iliyosababisha mafuriko imeendelea kuleta madhara makubwa ikiwemo vifo katika mataifa mengi ya Afrika Mashariki. Mtayarishaji na msimulizi ni Amina Abubakar Mjahid.

https://p.dw.com/p/4f1ca